Revelation of John 5:1

Kitabu Na Mwana-Kondoo

1 aKisha nikaona katika mkono wake wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, kitabu kilichoandikwa ndani na upande nje kikiwa kimefungwa kwa lakiri saba.
Copyright information for SwhKC